Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima
Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma, wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Jafo, akitoa tamko kwa umma juu ya udhibiti wa uchafuzi wa mazingira utokanao na kelele na mitetemo, ambapo wamiliki wa maeneo ya burudani na starehe wametakiwa kuzingatia matumizi ya vipima kelele na vizuia sauti kama ilivyoelekezwa kwenye masharti yote ya leseni zao.
Tazama video hapa chini



