
Kikosi cha Esperance ya Tunisia kilichotwaa ubingwa wa Afrika katika mchezo wa wavu.
Michuano hiyo iliyoshirikisha timu 16 kutoka mataifa mbalimbali ya Africa yalianza rasmi tarehe 18/04/2021 na kutamatika 27/04/2021 , huku wakishuhudia Esparance wakiibuka mabingwa.
Huo unakuwa ubingwa wa tano kwa Esperance huku ikiwa ni pigo kwa Zamaleki ambayo ilishindwa kutwa taji lake la sita kwenye michuano hiyo ya Africa.
Upande wa Tanzania iliwakilishwa na timu ya MTC kutoka Mwanza ambao wamekamata nafasi ya 12 miongoni mwa timu 16 shiriki.
Orodha kamili ya timu zote zilizoshiriki na nafasi waliyomaliza nayo
1-Esparance de Tunis -Tunisia
2-Zamaleki-Misri
3-Al Swehly-Libya
4-Olympique Kelebi-unisia
5-Kenya Port Authority-Kenya
6-Port Doula-Kenya
7-GSU-Kenya
8-Nemostar-Uganda
9-Rwanda Energy-Rwanda
10-APR-Rwanda
11-Nigeria Customs-Nigeria
12-MTC-Tanzania
13-Espoir-DR Congo
14-Rukinzo-Burundi
15-Wolaita Dicha-Ethiopia