Harmonize upande wa kulia, kushoto ni Marioo
Marioo amesema wakati Harmonize anatoa kauli hiyo wimbo wake 'mama amina' ulikuwa haujatoka ila ingetoka asingeweza kusema hivyo.
"Wimbo wangu umetoka mwezi wa 11 una wiki sasa, kipindi kile anasema hivyo wimbo wangu ulikuwa bado haujatoka kama ingetoka sidhani kama angeweza kuongea vile, dude langu hili ni 'hit song' na la moto kuliko magoma yote yaliyotoka sasa hivi" amesema Marioo
Zaidi tazama hapa chini akizungumzia hilo.



