Godfrey Anthony Kizibo, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Tabata Msimbazi.
adha ya mindombinu mibovu katika mtaa huo ni kero hivyo serikali iboreshe miundombinu hiyo.
"Kwakweli miundombinu katika mtaa wetu ni changamoto sana, ukiangalia barabara nq mitaro imechoka, maji taka yanatirika mitaani, kwakweli hii ni kero na tunaendelea kushirikiana na serikali kuu ili kuimarisha ustawi wa mkoa wetu" amesema bi Zamda
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tabata Msimbazi, Godfrey Anthony Kizibo, amesema mipango ya serikali ya mtaa wake ni kuhakikisha wanaboresha miundombinu ya mtaa huo huku akiwahakikishia huduma bora wakazi wa mtaa huo
Wakazi wa Mtaa wa Tabata Msimbazi wamelalamikia ubovu wa miundombinu katika mtaa huo jambo ambalo limekua kero kwa wakazi wa mtaa huo na kuhatarisha afya na usalama ya wakazi hao.
Akizungumza na Kurasa Mjumbe wa mtaa huo Zamda Alphonce,ameongea kwa niaba ya wananchi na kusema adha ya mindombinu mibovu katika mtaa huo ni kero hivyo serikali iboreshe miundombinu hiyo
"Kwakweli miundombinu katika mtaa wetu ni changamoto sana, ukiangalia barabara nq mitaro imechoka, maji taka yanatirika mitaani, kwakweli hii ni kero na tunaendelea kushirikiana na serikali kuu ili kuimarisha ustawi wa mkoa wetu" amesema bi Zamda
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tabata Msimbazi, Godfrey Anthony Kizigo, amesema mipango ya serikali ya mtaa wake ni kuhakikisha wanaboresha miundombinu ya mtaa huo huku akiwahakikishia huduma bora wakazi wa mtaa huo