Saturday , 1st Nov , 2014

Mashindano ya Miss Universe 2014, yamefanyika usiku wa jana kwa mafaniko makubwa, ambapo mrembo Carolyn Bernard amefanikiwa kutwaa taji hilo kwa mwaka huu.

Mshindi wa Miss Universe Tanzania 2014, Carolyn Bernard

Mashindano haya yamepambanisha wasichana 12 wenye fani mbalimbali mbali na urembo wao, katika mashindano haya yaliyopambwa na burudani ya muziki wa asili kutoka kundi la Haba na Haba.

Kujionea Burudani yote kutoka katika tukio hili la aina yake, usikose kutazama show kali ya Nirvana Jumanne tarehe 11 mwezi huu, kuanzia saa 3 kamili usiku, hapa hapa EATV.