
Picha ya watu wakivishana pete
Afisa Mahusiano na Umma wa jimbo la Kano Alhaji Lawan, akitoa ripoti ya taarifa hiyo amesema,
"Mwanamke huyu alikuwa katika ndoa na mwanaume wa kwanza wake aitwaye Bello Ibrahim (45), ambaye alikuwa anaumwa kwa muda mrefu hadi akahamishwa kupelekwa kijijini kwa ajili ya matibabu ambapo mwanamke huyo alidhani amefariki".
Pia Alhaji Lawan ameendelea kusema "Kisha aliamua kuolewa na mwanaume wa pili aitwaye Bala Abdulsalam (40), ambaye alimtolea mahari ya Tsh 126,580 na alidai kuwa amepewa talaka na mwanaume wa kwanza".