Thursday , 5th Dec , 2019

Kampuni ya Bonite Bottlers, wazalishaji wa Maji ya Kilimanjaro, imetoa zawadi za Pikipiki, Runinga 'TV' na katoni 50 za maji hayo kwa wateja wake, kupitia droo maalumu ya shinda na Maji ya Kilimanjaro.

Baadhi ya zawadi walizojinyakulia washindi wa Droo ya shinda na Maji ya Kilimanjaro.

Droo hiyo imefanyika leo Disemba 5, 2019, na kufanikisha kutoa jumla ya washindi 45, ambao walishinda zawadi hizo kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, yaliyogawanywa kwa herufi A, B, C, D, E pamoja na Mkoa wa Morogoro.

Kwa mara ya kwanza zawadi hizo zilitolewa Novemba 7, 2019, na wafuata ndiyo washindi 15 wa leo, waliojipatia Pikipiki kutoka maeneo yote yakiwa na majina yao ya biashara pamoja na majina yao kamili.

Moshi Shop - Isack Moshi, Hidaya Restaurant-Hidaya Hamadi, Ashraf Shop - Munira Majid, Single Shop - Thomas Daniel, Mushi Mbao - Eugine Aobogast, APC Hotel - Nasser Temba, AKO Catering-George Omary, Veba Product - Balbina Kimaro, G3 - Jacueline Kasando, Angel Shop - Alice, Shakira Stores - Shakira Ayub, Mongi Stores - Fredrick Mongi, Neema Shop - Neema John, Msolwa Super Market - Maggie Mushi na Willson Shop - Willson Molezi.

Katikati ni Mkuu wa Masoko na Mauzo kutoka Bonite Bottlers, Christopher Loiruk, akizungumza na waandishi wa habari

Washindi wa runinga Television.

Rasam Stores - Mwita Mariba, Usambara - Magiri, Mbaira Traders - Betty Omary, Tesha Shop -Evance Tesha, Tingue Shop - Fuhadi Omary, Malikita Shop - Narsis Mushi, Masai Shop - Miliar Laiz, China Town - China, Mbezi Garden - Andrew Lawale, Dar Lux Company LTD - Donald Simagunga, Dewu Hall - Felix Lyafunyika, GM Stores - Gaspary Majid, Morie Shop - Cesilia Tema, Gift Shop - Gift Matemba.

Washindi wa katoni 50 za Maji.

Peace Center - Mr Kombe,  Malay Shop - Emenuel Malay,  Hope Company LTD - Grace Lema, TMK Satnd shop - Neyma Onesmo,  M A M Shop - Charity Msuya, Mlay Stores - Simon Mlay, Iddy Shop - Valentina Iddy, Mama Irene - Pendo Richard,  Chuo Cha kodi - Lusy Davis, Marios Market-Marios, Neema Shop - Neema Chao,  Mama Tarimo - Leokadra Riwa , Rusunguras Shop - Ngongi Rusunguras, Mariana Shop - Mariana Munish, Aisha Shop - Aisha Malinda.

                                                           Baadhi ya zawadi zinazoshindaniwa