Riyama Ally akiwa na mumewe Haji Mwalimu Mzee 'Leo Mysterio'.
Riyama amesema amechoshwa na baadhi ya watu wanaomsakama kila siku kuwa ameolewa na mwanamume mwenye umri mdogo .
“Huu ni uamuzi wangu kuolewa na mume ninayempenda, sijali umri wala mali zake ninachoangalia nini moyo wangu unapenda. Tuacheni jamani, sisi tunazidi kupendana,” alisema Riyama.