Wednesday , 7th Dec , 2016

Kijana Said Abdallah Mbegu amekuwa kijana wa kwanza kuifungia safari EATV AWARDS kutoka Moshi, ili kuja kushuhudia usiku mkubwa wa EATV AWARDS utakaofanyika tarehe 10 Desemba 2016.

Said Mbegu

 

Akizungumza na EATV Said amesema ameamua kufanya hivyo kutokana na mapenzi yake lakini pia kuwashuhudia wasanii anaowapenda.

Mtazame hapa chini akielezea.

 

Tags: