FAHARI YA NYUMBA
Fahamu kuhusu wallpaper (karatasi ambazo hubandikwa ukutani kama mbadala wa rangi) Wataalamu wanashauri kuwa karatasi hizi hazihitaji majimaji kwasababu zinaweza kuharibika mapema.
FAHARI YA NYUMBA
Karatasi hizi zipo za rangi mbalimbali kulingana na mtumiaji atakapoenda kuziweka.
SITE
Kipindi cha Ujenzi kimetembelea kata ya Kwembe katiaka wilaya ya Kinondoni. Watu wengi wa eneo hilo wanajenga nyumba za style mbalimbali zikiwemo nyumba za chini ya ardhi yaani (underground house)