Submitted by Anonymous on Monday , 7th Dec , 2015 Picha ya pamoja ya washindi wa Tanzania Film Awards (TAFA) 2015 zilitolewa kwenye ukumbi wa wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Da-es-salaam. Mwigizaji Grace Mapunda akipokea Tuzo ya Best Actress Supporting Role. Muigizaji Bora wa Kike Irene Paul. Mama wa Marehemu Steven Kanumba alipokea Tuzo ya Tribute Personality Award ambayo ilitolewa kwa mtoto wake. Irene Paul (Best Actress) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 Tino ( Hassan Muya) akipokea Tuzo ya Best Actor Supporting Role kwa niaba ya msanii mwenzake. Baadhi ya wasanii wa filamu mchini waipata picha ya ukumbusho katika hafla za uzinduzi wa Tuzo