
'Nipe penzi' ni nyimbo ya mapenzi ambapo msanii Babbi anajaribu kumsihi mpenzi wake ampe penzi la kweli na waweze kupenda na kufurahia penzi lao bila kujali maneno ya watu.
Babbi amejaribu kelezea kuwa 'Nipe penzi' ni nyimbo ambayo itagusa hisia za watu wengi maana anaamini kuwa kila mtu anatamani kufurahi na kuinjoy na mpenzi wake.
Bofya hapa kutazama nyimbo hiyo https://www.youtube.com/watch?v=B1jPuj1GF-8&feature=youtu.be
