Diva wa miondoko ya Hip Hop Witnesz The Fitness aka Kibonge Mwepesi
Witnesz The Fitness aka Kibonge Mwepesi ameeleza kuwa, safari hii muamko wa vijana umekuwa kutokana na rika hilo kujitambua, akisisitiza pia anaamini kwa muamko huo huo, uchaguzi utafanyika kwa amani, na baada ya kipindi hiki cha mivutano ya itikadi tofauti, viongozi bora watapatikana na maisha yataendelea kama kawaida baada ya uchaguzi.





