Tuesday , 9th Jun , 2015

Bendi maarufu ya muziki kutoka nchini Kenya, H_Art ambao wapo hapa Tanzania kwa shughuli zao za kimuziki, wameeleza kuwa mtindo wa sanaa yao pia muonekano, umehamasishwa na kielelezo cha mjumuiko wa sanaa mbalimbali pembeni na kuimba.

bendi ya muziki nchini Kenya H_art The Band

Bendi hiyo inayoundwa na wasanii watatu wakali, Wachira Gatama- G.T, Kenneth Muya- Kenchez na Mordecai Mwini- ASAP kutoka Uyole Kenya, wamesema mbali na kuimba sanaa za uchoraji, rangi na vilevile mitindo kuleta utofauti kama wanavyoeleza hapa.