Spika wa Bunge Mstaafu, Anna Makinda.
Mchekeshaji Idris Sultan
Kikosi cha Namungo Fc ambacho kinaendelea kuiwakilisha nchi katika michuano ya Afrika.
Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad.
Mtangazaji wa East Africa TV King Smash
Wanafainali wa lUCL msimu uliopita PSG, wakiongozwa na Neymar (Kushoto), Kylian Mbappe (Katikati) na Angel di Maria (Kulia) watakuwa na kibarua cha kuhakikisha wanashinda leo ili wafuzu hatua ya 16 bora.
Mkurugenzi wa ufundi wa klabu ya Gwambina, Mwinyi Zahera akizungumza na Waandishi wa Habari.
Barcelona dhidi ya Juventus kwenye Klabu Bingwa Ulaya
Rais Magufuli pamoja na waombolezaji wengine (waliokaa juu) wakati wa kuaga mwili.


