
Kibaden amesema, wanajua Ethiopia wanataka sana ushindi ili waende robo fainali lakini kwa upande wa kikosi chake.
Kili Stars imejihakikishia robo fainali baada ya ushindi mfululizo katika mechi mbili za awali 4-0 dhidi ya Somalia na 2-1 dhidi ya Rwanda na hapo kesho kukamilisha mechi zake za kundi A ikiwa kileleni.