
Wema amefunguka hayo wakati akimjibu Shabiki katika kurasa wake wa Instagram, na kumtaka atambue Diamond ni baba wa watoto wa wili kwa sasa na ifike kipindi watu wanatakiwa wakubali kuwa hakuna kinachoendelea kati yake yeye na Diamond bali wamuombee na yeye apate mume wake ambaye siyo mtu maarufu.
"Sasa baby aliokwambia namtaka Damond ni nani? Life has to go on, yule ni baba wa watoto wawili jamani. Its about time u guys accept that Me and Naseeb no more. Mnachotakiwa kuniombea ni nipate mwanaume bora na siyo bora mwanaume na mwenye heshima zake"- aliandika Wema Sepetu.
Koment ya Wema akimjibu shabiki aliyandika kuhusu wema kumtaka Diamond.