Fid Q
Mtazame hapa chini akizungumzia hayo pamoja na swali ambalo huwa hapendi kabisa kuulizwa, zawadi aliyopewa na marafiki zake kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa 'birthday', na mengineyo.
Msanii Fid Q ambaye hivi karibuni amaeachia kazi zake mbili kwa mpigo, kwa mara ya kwanza amefunguka mipango yake ya kustaafu muziki, huku akiwa na ndoto nyingi za kuifanya lebo yake ya Chesui Dawa kuwa kituo cha television.