Sunday , 15th Feb , 2015

Staa wa muziki TID ambaye kwa sasa anafanya vizuri na rekodi yake ya Pressur featuring Nazizi, amesema kuwa ndani ya kipindi mwezi mmoja wa kazi hiyo ameweza kujitengenezea zaidi dola 6000 zaidi ya shilingi milion 10.

T.I.D

Amesema pesa hizo zote ni kutokana na mauzo ya mtandaoni pekee.

TID amesema kuwa, anaamini kuwa muunganiko wake na Nazizi mara nyingi unakuwa na mashiko ya aina yake, faida ambayo asingeipata endapo angekuwa amekaa tu.

Tags: