Sunday , 13th Jul , 2014

Kichupa kipya cha msanii wa kike anayefanya muziki wa injili Size 8 kilichobatizwa jina 'Tam Tam' the remix tayari kimeanza kuwateka mashabiki Afrika Mashariki.

mwimbaji wa nchini Kenya Size 8

Ndani ya kichupa hicho Size 8 amemshirikisha msanii mahiri wa nyimbo hizo za gospel Willy Paul ambao kwa pamoja wamewahi pia kuachia singles zao kali zikiwemo Yuko Na Wewe na 'Kwa Vile'.