Saturday , 22nd Mar , 2014

Baada ya kutoa ngoma ya KKK msanii Roma Mkatoliki amesema kuwa amefarijika sana kuona mapokezi ya aina yake ya kazi hiyo kutoka kwa wadau na mashabiki wa aina mbali mbali mitaani, jambo ambalo linaashiria mafanikio makubwa ya kile ambacho amekifanya.

Roma ameongelea pia upande wa pili wa kile ambacho anakumbana nacho kutokana na ujumbe ambao anafikisha kupitia ngoma zake ambazo zinaonekana kuwa na ukali kwa kundi la watu fulani, na hapa anazungumza mwenyewe:

Sauti ya Roma Mkatoliki
Tags: