Radio na Weasel
Wasanii hao wameeleza kuwa, wataweka wazi juu ya jina la filamu yenyewe hivi karibuni, wakiwa sasa katika mpango wa kuachia video kubwa kabisa za project zao tatu, Sky Walker, Kirimanyi na Omwana wa Bandi ikihisiwa kuwa, soundtrack yenyewe itakuwa ni kutoka katika moja ya kazi hiyo.
Wasanii hawa, pembeni ya shavu hilo kubwa mwanzoni mwa mwaka tu, wanatarajiwa pia kuleta ushindani mkubwa katika tuzo za Hipipo ambazo wanawania kwa sasa, wakiwa wanang'ara katika vipengele 7 vya tuzo hizo.