Mwimbaji wa muziki wa injili nchini Tanzania Emmanuel Mbasha
Mbasha katika mahojiano maalum na eNewz ameongezea kuwa, Mama wa Mtoto vilevile ndiye mtu sahihi wa kueleza ukweli juu ya ni nani baba halisi wa mtoto, huku kwa upande wake akisema ni mapema mno kulizungumza suala hili.