Thursday , 23rd Apr , 2015

Staa wa muziki Madee, ambaye aliahidi kufanya mambo mbalimbali katika siku yake ya kuzaliwa ambayo ni leo, kati ya ahadi hizo ikiwa ni kuachiwa kwa ngoma ya Janjaro tangu kurejea kwake chini ya uangalizi wake.

staa wa kundi la Tip Top Connection Madee

Madee amesema kuwa, kubadilika kwa ratiba hiyo kumetokana na kuingiliwa na mambo mengine ikiwepo msiba, na hivyo kusimama kwa shughuli mbalimbali za kazi zake katika muziki kumaliza mambo ya msiba wa marehemu Abdu Bonge