Wednesday , 12th Nov , 2014

Msanii wa muziki Linah, baada ya kazi yake kubwa ya Ole Themba kumpandisha ngazi kimuziki, amesema kuwa kazi itakayofuata kutoka kwake itakuwa ni kubwa zaidi na si lazima ifanyike nnje ya nchi tena.

msani wa muziki wa miondoko ya bongofleva nchini Linah Sanga

Linah ameiambia eNewz kuwa, akiwa sasa ameongezeka thamani na kuwa msanii wa kiamtaifa, atazingatia kufanya kazi zake katika bajeti inayojitosheleza akitumia hata waongozaji video wa hapa nchini.