msanii wa miondoko ya bongofleva nchini Heri Muziki
Staa huyo amekazia kuwa, elimu ndiyo kitu ambacho anakizingatia zaidi mbali na muziki, amesisitiza pia kuwa, bado ana mpango wa kujiendeleza zaidi kielimu, fani yake kubwa ambayo amejikita ndani yake ikiwa ni Biashara.





