
msanii wa bongofleva nchini Kamikaze
Staa huyo amesema kuwa, kitendo cha kupuuza ama kulinganisha kazi ya msanii ambayo ametumia gharama ya kawaida kuifanya, na zile ambazo msanii husika anakuwa amewekeza mamilioni, kunamkatisha tamaa yule anayewekeza zaidi na hivyo kuondoa viwango ama ubora katika kazi zao.
