Akiongea kwenye kipindi 5Selekt kinachorushwa na ting'a namba moja kwa vijana Big Jahman anasema yeye mwenyewe alimfuata Fid Q na kumuomba amsimamie kazi zake kwani lengo lake lilikuwa ni kurudi kufanya vyema na kufanya biashara katika muziki.
Big Jahman akiwa chini ya usimamizi wa Fid Q ameachia kazi yake ya kwanza inayoitwa 'Mabundi' akiwa ameshirikiana na Fid Q mwenyewe pamoja na Saraha.
Itazame....