Thursday , 28th Aug , 2014

East Africa Radio imewafikia wakazi wa Iringa kupitia masafa ya 90.9 FM, ambapo sasa wakazi wa Iringa watapata fursa ya kusikiliza vipindi bora vya Radio vyenye kuhabarisha, kuelimisha pamoja na kuburudisha kutoka East Africa Radio.

East Africa Radio 90.9fm Iringa

Msanii wa muziki anayetokea mkoa wa Iringa Mike Tee aka Mnyalu ameongea na eNewz kuhusiana na ujio huu wa East Africa Radio Iringa na kuelezea furaha yake kufikiwa na East Africa Radio kupitia 90.9 FM Iringa.

East Africa Radio 90.9 FM Iringa Together Tunawakilisha