Taarifa hii imekuja baada ya kuanza kuenea kwa tetesi juu ya kuwepo kwa uhusiano wa kweli wa kimapenzi baina ya mastaa hawa wawili wakubwa, ambapo sasa imewekwa wazi kuwa ukaribu wao ni kwa sababu za kibiashara tu.
Kwa mujibu wa taarifa za chini chini, malipo ya D banj kuwa karibu na mwanadada Kenya kama mpenzi wake mbali na faida nyingine, ni kitita cha dola elfu 40, zaidi ya shilingi milioni 64 za kitanzania.