
Damian Soul
Damian amesema kuwa amepata nguvu ya kuendelea kufanya zaidi muziki huu baada ya kuona mashabiki wakikubali katika majukwaa makubwa, ingawa bado mtindo anaofanya unachanganywa na muziki wa Bongo Flava.
Ni Penzi featuring Joh Makini, ndio mzigo mpya kutoka kwa Damian, ambaye anaamini katika msemo Good Music is Good Music, na muziki wa soul ukiwa miongoni mwake.