Hoteli ya Blue Pearl ilikuwa ikiendeshwa katika jengo la Ubungo Plaza Ltd inayomilikiwa na mashirika ya Umma ya NSSF, PSPF, na NIC ambalo ni shirika la bima la taifa
Hata hivyo baada ya kuifungia hotel hiyo kampuni hiyo ya Udalali ya Yono imefuta jina la Blue Pearl Hotel

Muonekano wa Hotel Blue Pearl baada ya kufungiwa na kufutwa jina








