Katika taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari na ofisi ya msajili mkuu wa vyama vya siasa ikikemea tamko la cha Demokrasia na maendeleo Chadema lililotolewa Julai 27.
Jaji Francis Mutundi amesema, Tamko hilo limejaa lugha ya uchochezi, kashfa, kuudhi n lenye kuhamasisha uvunjifu wa amani nakuwa kanuni ya maadili ya vyama vya siasa, Tangazo la serikali namba 215 la mwaka 2017, zinakataa chama cha siasa kutumia lugha za matusi, kashfa, uongo na uchochezi.
Jaji Mutungi amesema nivyema vyama vikatumia njia za mawasiliano na taasisi za umma kwa mujibu wa sheria nakwamba uvumilivu wa kisiasa katika azma za kudumisha ukuaji wa kidemokrasia nchini haukwepeki.




