Nikki wa Pili (kushoto) ndani ya Planet Bongo

27 Mar . 2017

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba (kulia) akitoa hotuba ufunguzi wa kikao kazi cha mwaka kinachowahusisha maafisa wakuu wa jeshi la Polisi na makamanda wa mikoa na vikosi kinachofanyika mkoani Dodoma.

27 Mar . 2017

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) akipokea ripoti kutoka kwa Mkemia Mkuu

27 Mar . 2017

Rais Magufuli akifurahi pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad mara baada ya kupokea ripoti hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.

27 Mar . 2017

Katibu Mkuu wa Baraza hilo Bwana Geofrey Mngereza (kushoto) na Msanii Nay wa Mitego

27 Mar . 2017