Meidah
Hey hey Meidah hapa kutoka Green City naangalia enewz holla kwa Evy Chee, Anny B, Nedy, Ditto, Mbogbizzy, Xhajoh Nuru, And bigger wote wakiwa mbeya nawatakia maisha mema ujumbe Keep Watching enewz!!!.
Dr mruma
Dr mruma halaa 5
Steve Silas from R Chuga
Whatsup East Africa, its ur boy Steve Silas from R Chuga, nawapa halla baba yangu Silas Paul, Mama yangu Regina Raphael, Kaka yangu Isaya Silas na mdogo wangu Prince Silas eNewz ni shidaaaa.
Itz Boy Bad Classic katikati ni Adam Pemben ni Davido classic
Itz Boy Bad Classic katikati ni Adam Pemben ni Davido classic tukifanya yetu nje ya Nad classic majengo tuna watch eNewz kila siku kwa kweli imetubamba holla kwa Second Platnum, Vicent Sir-V, Black Water, Mama yangu Aminah an wana wooote. Halla 5.
Ob ze cash
Dah pand za Singida, nawapa halaaa 5 wanachuo wote pand izi, Ob ze cash apa halaaaaaaaaaaa