Ally Said
Ally Said anasema holla 5 enewz fans.
Dj Ken
Hey, Dj Ken hapa kutoka Makonde Royal Night Club Mtwara kisima cha burudani.. halaaah kwa washkaji wote wa Mtwara!! Hapana chezeaaaa!!
Ally and Warda
Hello! Its Ally and Warda all the way from Bukoba. Hi to our brother Salim, Kassim in DSM, and sister Halima in Zanzibar...Keep watching Holla.
E. Wa Itongo a.k.a Ankoooo.
Ni E. Wa Itongo a.k.a Ankoooo... together tunawaklsha ila bila e-newz ni sawa na kuzuia ruti za daladala hapa mjini ha ha ha.