Ni madogo zangu toka Majengo kwa Mtei ni Lina Richard pamoja na Kombora wanatoa hala 5, bila kumsahau babamdogo wao Bakary Mzava, na mama yao Pendo Lewis, kutoka kwa mtei holaaa.
Mtei Clemency na Mama Balotelli
Mtei Clemency na Mama Balotelli tukiwa K'koo Halla five kwa Ally Abbas, Otto Katembo, Pinho Charls, Jastin Wa Kiseke B na Padri Moshi.
Shaban Gunze
Shaban Gunze wa Mwanga Kigoma, hallaaa 5 kwa Teacher Zaki Tegera, Kabo Ramadhan, Juma Kimwaga wote wa kigoma Nazaret.