Submitted by Telesphory on Tuesday , 8th Sep , 2015 Mshindi wa shindano la EA RADIO FANTASY LEAGUE ndugu Freddy Joseph Komba akiwa kwenye Studio za East Africa Radio. Mtangazaji wa kipindi cha East Africa Radio Ireen Tillya akimkabidhi Freddy Joseph Komba zawadi ya Shilingi Milioni moja, mshindi wa mwezi wa Nane wa shindano la #EARadioFantasyLeague. Fredy Joseph Komba ambaye anatokea mkoani Mtwara ni meneja wa Team ya B52, Mtangazaji wa kipindi cha East Africa Radio Ireen Tillya akimkabidhi Freddy Joseph Komba zawadi ya Shilingi Milioni moja, mshindi wa mwezi wa Nane wa shindano la #EARadioFantasyLeague. Fredy Joseph Komba ambaye anatokea mkoani Mtwara ni meneja wa Team ya B52,