Submitted by Brendansia on Monday , 28th Apr , 2014
Brand Manager wa Tusker lite Bi Anitha kutoka makampuni ya Serengeti breweries Limited akitoa neno la shukrani kwa wageni waliofika katika hafla ya marketers night.
Mwakilishi kutoka kampuni ya vyombo vya habari vya citizen akitoa neno la shukrani katika hafla ya marketers night.
Manager wa Dstv Bi Furaha. akizungumza na wawakilishi wa makampuni mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo kuhusu mahusiano ya biashara mbaimbali.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo Bw Pepe Minambo kutoka Congo akizungumza na marketers wa makampuni mbalimbali juu ya umuhimu wa kua na mahusiano mazuri na kua na bidii ya kazi.
Bw. Alex Galinoma mratibu Katika kampuni ya East Africa Television akitooa neno la shukrani katika hafla hiyo kutoa shukrani kwa wageni waliofika katika hafla hiyo.
Pepe Minambo akisisitiza jambo wakati wa hafla hiyo iliyokutanisha Maketers wa makampuni mbalimbali Tanzania hususan Dar-es salaam.
Afisa lishe kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Bw. Walbert Mgeni akifafanua kuhusu makundi mbalimbali ya vyakula na namna yanavyotakiwa kutumiaka.