Submitted by Telesphory on Monday , 3rd Aug , 2015 Mmoja wa Majaji wa mashindano ya Dance100% 2015 Queen Darleen akiangalia kwa makini burudani ya kudansi iliyokua ikitolewa na jaji wenzake Shetta. Mmoja wa majaji katika mashindano ya Dance100% 2015, Shetta akiingia kwa mbwembwe za kudansi katika viwanja vya Don bosco - Upanga katika Usaili wa Pili yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, Mashindano yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania na kinywaji rasmi kikiwa ni Cocacola. Baadhi ya mashabiki waliojitikeza kushuhudia mashindano ya Dance100% katika viwanja vya Don Bosco - Upanga Vijana wanaounda kundi la Perfect Crew wakionesha uwezo wao katika Usaili wa Pili katika mashindano ya Dance100% yaliyofanyika Don Bosco - Upanga jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. mmoja wa majaji Queen darleen akiingia kwa madaha, Mashindano ya Dance100% yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania na kinyaji rasmi cha mashindano ni Cocacola. Mtangazaji Tony Albert ama T-Bway akiwa na Maggie Vampire wakitangaza kuanza kwa mashindano ya usaili wa pili wa mashindano ya Dance100% katika viwanja vya Don Bosco - Upanga. Hassan Nyamwela almaarufu kama Super Nyamwela ambae ni mmoja wa majaji katika mashindano haya ya Dance100% akiingia uwanjani katika Usaili wa Pili wa mashindano haya, yaliyofanyika Don Bosco Upanga The winners moja ya makundi yaliyofika katika Usaili wa Pili viwanja vya Don Bsco - Upanga likionesha ubunifu wao wa kudansi. Mad Squard wakifanya yao katika Usaili wa Pili wa dance100%. Don Bosco - Upanga Dj Ommy Crazy na Dj Summer Mavuno Crew wakifanya yao katika Usaili wa pili wa mashindano ya kudansi ya dance100% yaliyofanyika viwanja vya Don Bosco - Upanga. Kundi La Cute Babies ni moja ya makundi yaliyojitokeza katika Usaili wa Pili wa mashindano ya Dance100%, ndio kundi pekee la Kike kujitokeza, Baadhi ya mashabiki wa mashindano ya Dance100% waliojitokeza katika viwanja vya Don Bosco - Upanga wakifatilia kwa makini mashindano hayo, dance100% imedhaminiwa na Vodacom Tanzania na kinywaji rasmi ni Cocacola. Mmoja wa Majaji wa mashindano ya Dance100% 2015 Queen Darleen akiangalia kwa makini. The Swagger Don The Heroes Be Happy Crew The Sun Crew. Watangazaji wa mashindano ya Dance100% Maggie Vampire pamoja na Tony Alberty, wakiwa pamoja na kundi la The Sun Crew baada ya kuonesha uwezo wao wa kudansi. Watangazaji wa Dance100% Tony Albert ama T-Bway na Maggie Vampire. Watangazaji T-Bway na Meninah Atick wakiwa pamoja na makundi matano(5) yaliyofanikiwa kuingia Robo Fainali ya mashindano ya Dance100% 2015