Submitted by Telesphory on Monday , 27th Jul , 2015 Kundi la G.M.F likionesha uwezo wake wa kucheza katika usaili wa kwanza wa mashindano ya #2015Dance100 yaliyofanyika katika viwanja vya TCC - Chang'ombe jijini Dar es salaam tarehe 26/7/2015 Mtangazaji mwenza wa T-Bway 360 katika mashindano ya #2015Dance100 Maggie Vampire akiingia kwa madaha ili kuanza kwa mashindano hayo ya usaili wa kwanza yaliyofanyika katika viwanja vya TCC-Chang'ombe Dar es salaam tarehe 26/7/2015. Watangazaji wa mashindano ya #2015Dance100 Maggie Vampire na T-Bway 360 kwa pamoja wakionesha uwezo wao pia wa kusakata dansi, Kundi la NOMA SANA nalo halikua nyuma kuonesha uwezo wao katika mashindano ya usaili wa kwanza ya Dance100% yaliyofanyika TCC-Chang'ombe Super Nyamwela mcheza dansi maarufu nchini Tanzania ambae pia ni mmoja wa majaji wa mashindano ya Dance100%, akionesha alama alizotoa katika kundi lilikusidiwa, Baadhi ya mashabiki waliojitokeza katika viwanja vya basketball TCC-Chang'ombe tarehe 26/7/2015 katika usaili wa kwanza wa mashindano ya #2015Dance100, wakionesha uwezo wao pia katika kudansi. Mashindano yanadhaminiwa na Vodacom pamoja na Cocacola. mmoja wa majaji wa mashindano ya Dance100%, Shetta ambaey pia ni msanii wa muziki wa bongo fleva akifatilia kwa umakini mashindano hayo Baadhi ya makundi yaliyovuka hatua ya robo fainali yakiwa kwa pamoja Mtangazaji wa mashindano ya #2015Dance100 Tony Albet ama T-BWAY 360, ambae pia ni mtangazaji wa kipindi cha 5Selekt cha East Africa Television, akiingia kwa mbwewmbwe katikati ya uwanja wa TCC-Chang'ombe katika usaili wa kwanza wa mashindano hayo Team Ya Shamba, ni moja ya makundi yaliyofanikiwa kuvuka hatua ya Robo fainali katika usaili wa kwanza wa #2015Dance100, The W-D moja ya makundi yaliyofaikiwa kuvuka katia hatua ya robo fainali katika usaili wa kwanza wa mashindano ya Dance100%, yaliyofanyika tarehe 26/7/2015 viwanja vya TCC-Chang'ombe kundi la UN6 ni moja ya makundi yaliyojitokeza katika mshindano ya #2015Dance100 ikiwa ni usaili wa kwanza kufanyika mwaka huu yaliyofanika katika viwanja vya TCC-Chang'ombe, likionesha uwezo wake wa kudansi The WT, nalo halikua nyuma kuonesha uwezo wake katika kusakata dansi, katika usaili wa kwanza wa mashindano ya Dance100% yaliyofanyika TCC-Chang'ombe, mashindano hayo yamedhaminiwa na Vodacom Tanzania pamoja na Cocacola Mmoja wa washehereshaji katika mashindano ya #2015Dance100 Dullah ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio akifanya yake katika mashindano hayo ya usaili wa kwanza yaliofanyika viwanja vya TCC Chang'ombe tarehe 26/7/2015 Dar Crew