Submitted by Telesphory on Monday , 13th Oct , 2014
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu akiwakabidhi rasmi vijana wa kundi la”WAKALI SISI”la kiwalani jijini Dar es Salaam simu zao aina ya Vodafone Smart Kicka,ambazo ni moja kati ya zawadi walizojishindia katika fainali .
Mabingwa wa shindano la Dance 100% 2014” WAKALI SISI”wakimsikiliza kwa makini Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kulia) wakati alipokuwa akiwahusia kuhusiana na matumizi mazuri ya simu baada ya kuwakabidhi rasmi ya simu zao
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akiwakabidhi rasmi vijana wa kundi la”WAKALI SISI”la kiwalani jijini Dar es Salaam simu zao aina ya Vodafone Smart Kicka,ambazo ni moja kati ya zawadi walizojishindia katika fainali.
Mabingwa wa Dance 100% 2014”WAKALI SISI”wa Kiwalani jijini Dar es Salaam,wakionesha simu aina ya Vodafone Smart Kicka zikiwa na muda wa maongezi wa shilingi laki moja mara baada ya kukabidhiwa rasmi.
Kundi la”WAKALI SISI”ambalo ni mabingwa wa shindano la Dance 100% 2014 wakionesha makali yao ya kucheza dansi katika makao makuu ya Vodacom walipofika kwenye hafla fupi yakukabidhiwa simu zao aina ya Vodafone Smart Kicka.