
Mtangazaji wa mashindano ya Dance100% Menninah Atick akionyesha mbwembwe zake.

Mtangazaji Tony Albert ama T-Bway akiwa na Meninah Atick wakionyesha uwezo wao wa kudansi kwa mashabiki waliojitokeza katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay katika hatua ya Nusu Fainali.

Mmoja wa majaji katika mashindano ya Dance100% Lotus Kyamba akiingia kwa mbwembwe za kudansi katika viwanja vya Don bosco - Oysterbay katika hatua ya Nusu Fainali yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, Mashindano yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Hassan Nyamwela almaarufu kama Super Nyamwela ambae ni mmoja wa majaji katika mashindano haya ya Dance100% akiingia uwanjani katika hatua ya nusu fainali ilyofanyika mwishoni mwa wiki..

mmoja wa majaji Queen darleen akiingia kwa madaha, Mashindano ya Dance100% yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania na kinyaji rasmi cha mashindano ni Grand Malt

Vijana wanaounda kundi la Quality Boys wakionesha uwezo wao katika round ya 1 katika hatua ya Nusu Fainali ya mashindano ya Dance100% yaliyofanyika Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.

Kundi la Wakali Sisi likionesha ustadi wao wa kudansi katika round ya 1 katika hatua ya Nusu Fainali ya Dance100%. Mashindano haya yamedahaminiwa na Vodacom Tanzania Na kinywaji rasmi ni Grand Malt.

The winners moja ya makundi yaliyofika Nusu Fainali likionesha ubunifu wao wa kudansi katika raound ya 1 kwenye mashindano ya Dance100% hatua ya Nusu Fainali.

Tatanisha Dancers wakifanya yao katika round ya 1 ya nusu fainali ya dance100%

Mazabe Powder wakionesha uwezo wao wakusakata dansi katika round ya 1 katika hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Dance100%

The W-T wakionesha ufundi wa kusakata dansi katika round ya 1 ya Nusu Fainali iliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam,

Wazawa Crew katika round ya 1 katika hatua Nusu Fainali

Dar Crew

G.O.P wakifunga round ya 1 katika hatua ya Nusu Fainali ya mashindano ya Dance100% 2014.

Baadhi ya mashabiki wa mashindano ya Dance100% waliojitokeza katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay wakifatilia kwa makini mashindano hayo, dance100% imedhaminiwa na Vodacom Tanzania na kinywaji rasmi ni Grand Malt.

Watangazaji wa mashindano ya Dance100% Meninah Atick pamoja na Tony Albert A.K.A T-Bway360 wakitangaza kuanza kwa round ya 2 ya katika hatua ya Nusu Fainali ya mashindano ya Dance100% yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay jijini DSM.

Quality Boys Wakionyesha ufundi wao wa kucheza wimbo ya Good Kisser ya Mwanamuziki Usher raymond katika round ya 2 katika hatua ya Nusu Fainali

Wakali Sisi wakiwa katika round ya 2 katika hatua ya Nusu Fainali

The Winners Wakionesha uwezo wao kwa mara ya pili katika mzunguko wa pili kwenye Nusu Fainali ya mashindano ya Dance100% yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco _ Oysterbay.

Tatanisha Dancers wakicheza wimbo ya mdogo mdogo ya mwanamuziki Diamond Platnumz katika round ya 2

Mazabe powder round ya 2

Kundi la The W-T wakicheza wimbo unaoitwa Nitajuta wa Yamoto Band katika round ya 2 hatua ya Nusu Fainali ya mashindano ya Dance100%.

Best Boys Crew wakilisakata dansi wimbo wa Chris Brown uitwao Love More katika round ya 2 hatua ya Nusu Fainali ya mashindano ya dance100% yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco _ Oysterbay jijini Dar es salaam.

Wazawa Crew kwenye round ya 2 hatua ya nusu fainali ya Dance100%

Dar Crew katika round ya 2 wakicheza wimbo wa wiggle wiggle kwa ubunifu wao wa kucheza slow dance

G.O.P

Watangazaji T-Bway na Meninah Atick wakiwa pamoja na makundi matano(5) yaliyofanikiwa kuingia Fainali ya mashindano ya Dance100% . makundi hayo ni Wazawa Crew, The W-T, The Winners, Wakali Sisi na Best Boys Crew.