Submitted by Telesphory on Friday , 29th Jul , 2016 Wanafunzi wa shule ya Mbezi Beach High School wakifurahia show ya 5SELEKT iliyofanyika katika kiwanja cha shule iyo siku ya juma tano ya tarehe 27Julai 2016. Host wa 5SELEKT Event, Vanila akifanya yake katika jukwaa la 5SELEKT iliyofanyika kwenye uwanja wa shule ya Mbezi Beach High School siku ya jumatano ya tarehe 27julai 2016. Wanafunzi wa Mbezi Beach High School wakijaribu kujibu maswali ya chemsha bongo waliyokua wakiulizwa na host wa 5SELEKT Event, T-Bwai iliyofanyika shuleni hapo siku ya juma tano ya tarehe27Julai 2016. Wanafunzi wa shule ya Mbezi Beach High school wakiwa na Furaha wakifuatilia matukio na burudani mbali mbali katika tamasha la 5 selekt lilifonyika Jumatano 27/Julai 2016. Wanafunzi wa shule ya Mbezi Beach High school wakiwa na Furaha wakifuatilia matukio na burudani mbali mbali katika tamasha la 5 selekt lilifonyika Jumatano 27/Julai 2016. Wanafunzi wakionesha umahiri wao katika ubunifu wa mavazi yaani ( fashiooon) katika tamasha la 5 selekt event Mbezi Beach High school Julai 27/2016. Wanafunzi wa Mbezi Beach High School waitwao Mbezi Beach Dancers wakionesha manjonjo kwenye jukwaa la 5SELEKT iliyofanyika ndani ya shule ya Mbezi Beach High School siku ya juma tano ya tarehe 27Julai 2016, pembeni kulia ni host wa tamasha T-Bway na DJ Ommy Crayz Wanamuziki wa bongo flevour wa kundi la MAKOMANDO wakifanya yao katika jukwaa la 5SELEKT iliyofanyika ndani ya shule ya Mbezi Beach High School siku ya juma tano ya tarehe 27Julai 2016. Mwanafunzi wa Mbezi beach high school ajulikanae kama Alikiba akionyesha kipaji chake katika miondoko ya Dansi.