Date:
Wednesday , 30th Jul , 2014
Status:
Active
Wakati ni sasa wa kushinda 1,000,000 na East Africa Breakfast show kila siku
Mashindano makubwa ya kombe la Dunia 2014 yameanza na Meridian bet kupitia kipindi cha radio cha East Africa Breakfast wanatoa nafasi kwako ya kuwa milionea kila siku!
Jinsi ya kushinda sikiliza East Africa Radio, kipindi cha East Africa Breakfast kila siku ya wiki ,Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12 asubuhi.
Nafasi yako kuwa milionea kila siku na East Africa Radio.