Mtaa kwa mtaa
Mmoja kati ya waswazi akijaribu kufafanua maana ya uswahilini, na kuelezea faida na hasara za kujengwa nyumba za kisasa uswahilini.
Uswazi.com
Anaitwa Kondo, ni mbunifu wa kutengeneza baiskel yenye uwezo wa kupakia hata watoto 8 mpaka 10. Hii ni mojawapo na ikiwa bado ipo kwenye matengenezo.
Salaam
Uswazi ndiyo kwetu, ice cream tunaziita lambalamba... hapa muuza ice cream anaelezea usalama wa nailon iliyowekewa ice cream.