Site
Ili uweze kutengeneza maua ya balcon yanayolingana lazima utumie machine ambazo zitakupatia maua ambayo yanafanana na kulingana kwa kazi zima.
Fahari ya nyumba
Zulia lilotengenezwa na mkonge linafaida kubwa zaidi kwakuwa linasaidia miguu kufanya massage.
Habari za Ujenzi
Ujenzi wa paa la soko la Feri unatarajia kukamilika mwenzi Augusti mwaka huu.