NJE YA BOX
Promota maarufu kutoka Marekani Dmk Global amedai kuwa Wasanii wa Yamoto Band wanautofauti mkubwa katika Matamasha yao wanayofanya Nje ya Nchi.
KITENGO
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva Juma Nature amesema kuwa wasanii wengi wazamani wamekata pia Juma amefafanua sababu za wasanii muda mrefu kukata tamaa.
TATU CHAFU
Msanii Kala Jeremiah amejiachia kwenye 3chafu nakusema anavutiwa sana na filamu za vichekesho kuliko aina yoyote ya filamu.