Region: 
Mtwara
District: 
Mtwara
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 40 kwa mwaka mzima

Shule ya Sekondari Naliendele ilipatiwa taulo za kike pakiti 484 ambazo zitaweza kuwasaidia wanafunzi 40 kwa mwaka mzima wakiwa shuleni.

Mtangazaji wa East Africa Radio, Justin Kessy akitoa elimu ya hedhi salama kwa wanafunzi wa kiume.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara, Mhe. Shadida Ndile (kushoto) katika picha ya pamoja na wanafunzi waliopatiwa taulo za kike.

Mwanafunzi wa Naliendele akichangia mada kuhusiana na hedhi salama.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara, Mhe. Shadida Ndile (Katikati) akizungumza na wanafunzi wa Naliendele na Mangamba.