Submitted by Dickson on Jumatano , 20th Mei , 2015
Baraka Da Prince ni Mwanamuziki anayefanya vizuri kwasasa kwenye Muziki wa Bongo Flava nchini, mengi amefunguka hasa maisha yake ya muziki, ni Jumatatu hii saa 3:00 Usiku EATV na Mjukuu wa Ambua Dullah, ndani ya Kitengo cha Planet Bongo, Usikosee